Klabu ya Mbeya City waingia mkataba wa mamilioni na Parimatch, Sasa level ya Simba na Yanga (+Video)

9 0

Kampuni yetu Parimatch inaendesha shughuli michezo ya kubashiri mtandaoni na imesajiliwa na bodi ya michezo ya Kubahatisha Tanzania kwa takriban miaka 3 sasa. Kimataifa tupo zaidi ya nchi 15 ikiwa na wateja zaidi ya milioni moja duniani kote.

Akiongea Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utawala wa Parimatch Tanzania, Bwana

Tumaini Maligana amesema: Ndani ya hii miaka mitatu tumeendesha programu mbalimbali za kuinua michezo Tanzania kama Amsha ndoto na leo ni hatua nyingine tunapiga katika kukuza michezo.

Tunapenda kuutaarifu umma kuwa Leo IJUMAA Tar 28 August 2020 tumeingia rasmi makubaliano ya mkataba wa udhamini wa Klabu ya Jiji la Mbeya ‘Mbeya City’, ambayo inashiriki michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara katika msimu huu wa 2020/2021.

Mbeya City ni moja klabu kubwa kwa hapa Tanzania hususani ukiangalia idadi ya mashabiki na ushawishi katika soka.

Sisi kama Parimatch Moja ya jukumu letu kubwa ni kuhakikisha michezo inakua kuanzia ngazi ya chini hadi ngazi ya kimataifa ,

Lakini pia Tunaendelea na michakato mablimbali ya kuunga mkono vilabu vingine kutoka ligi kuu ,  ligi daraja la kwanza na hata Vilabu Chipukizi . Ikiwa ni kuunga mkono juhudi za TFF na bodi ya ligi kuhakikisha ligi za Tanzania zinakuwa na tunaenda kimataifa.”

Mbeya City wanakuwa levo moja na vilabu kama Simba Yanga na Namungo kwa sababu vile vilabu vimeingia mkata na kampuni ya Sportpesa na sasa Mbaya City wamelamba dili kwa kampuni ya Parimatch. Ingia kwenye link yao ya Parimatch ili uweze kubet kwa urahisi. PARIMATCH

 

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *