Kocha mpya Yanga, Zlatko Krmpotic

2 0

Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwa @yangasc wamemtangaza Rasmi kocha wao mpya, Zlatko Krmpotic

Zlatko Krmpotic ambaye ni raia wa Serbia ametangazwa hii leo na #yangasc hii leo siku ya Ijumaa ya tarehe 28 Agosti 2020.

Inadaiwa amejiunga na Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Polokwane City ya Afrika Kusini.

Kocha huyo anaonekana kuwa na mafanikio makubwa kunako soka la Afrika wakati rekodi yake inaonyesha amewahi Kutwaa Ubingwa wa Michuano ya Klabu Bingwa Afrika akiwa kocha msaidizi TP Mazembe 2015.
#Bongo5Updates

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *