KOMU ATANGAZA KUACHANA NA CHADEMA -VIDEO

Mbunge wa Moshi Vijijini, Antony Komu leo Machi 29, 2020 ametangaza kujiondoa kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo mara baada ya kipindi chake cha ubunge kuisha na kusema atahamia chama cha NCCR Mageuzi.
Toa comment