Konde Gang: Tunataka Harmonize afanye show moja na Chris Brown, tutaliteka soko la muziki Afrika na dunia nzima (+Video)

2 0

Mmoja ya mameneja wa lebo ya Konde Gang ambaye ni Ofiicial meneja wa Country Boy Almasi Mzambele ameeleza mipango ya lebo ya Konde Gang na kusema kuwa wanataka kuliteka soko la muziki wa Bongo Fleva lakini pia Afrika nzima.

Mzambele ameongez akuwa kwa upande wa Harmonize wanataka iwe dunia nzima yani likitajw ajina la Chris Brown na Harmonize kiwe kitu cha kawaida na hata kupiga show wapige stage moja.

Mbali na hilo Mzambele ameeleza sababu ya kumpa gari Country boy haliyakuwa amesainiwa wa mwisho huku Killy na Cheed ambao walisainiwa mwanzao kutokupewa gari na kuhusu kuwasaini wasanii hao ambao wa;likuwa kings music kwa haraka ameelez ahaya.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *