Related Post

Umeniweza

Posted by - April 3, 2020 0
Provided to YouTube by Amuseio AB Umeniweza · YDNW DIve Umeniweza ℗ YDNW Released on: 2020-04-04 Music Publisher: Copyright Control…

There are 50 comments

 1. Avatar

  Verse 1 : Lava Lava]
  Mwenzako jicho chongo
  Kwa mwengine sioni tena
  Umenipa magongo nitembee
  Niache kuchechema
  Tujiepushe na waongo
  Hawakosagi cha kusema
  Ulinzi nguzo chuma dongo
  Penzi tuezeke na mahema
  Penzi langu la kizigua nakupa taratibu (Aaah eh!)
  Na miuno nainengua washikwe na aibu
  Nazani hawajajua wewe ndo unaniharibu (Aaah eh!)
  Na mwaka huu mbona wataugua wakose wa kuwatibu

  [Bridge : Lava Lava]
  Wewe nipe mambo ya Pwani eti mwenzako nina nenge
  Kanga moja begani uno ulifunge tenge
  Mguu bara mguu Pwani kama unaruka senyenge
  Wee nibinyie kwa ndani nitoke malenge lenge

  [Chorus : Lava Lava]
  Saula!!! (Mambo yaweke hadharani)
  Saula!!! (Kwani unamuogopa nani)
  Saula!!! (Uyaweke hadharani)
  Saula!!! (Kwani unamuogopa nani)

  Reply

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *