Lil Ommy alivyoanza maisha mapya Wasafi Media baada ya kuachana na Times Fm (Video)

8 0

Mtangazaji mahiri wa vipindi vya burudani nchini Tanzania, @lilommy Jumatatu hii ameanza kazi rasmi Wasafi Fm ikiwa ni miezi kadhaa toka aachane na Times Fm. Mshindi huyo wa tuzo ya Mtangazaji Bora Afrika ametua katika kipindi hicho akiwa na timu yake ambayo alifanya nayo kazi Times Fm.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *