#Live: Kampeni CCM, Magufuli Atinga Simiyu Kunadi Sera Zake Kwa Wananchi…


Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba 4, 2020 DKT Magufuli anaendelea na mikutano ya hadhara ambapo amefika Shinyanga kuomba wananchi wampigie kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxToa comment