LIVE : Rais Magufuli Anarudisha Fomu ya Urais NEC

Rais John Pombe Magufuli, leo amerejesha fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha mapinduzi CCM kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC zilizopo Njedengwa Dodoma

TAZAMA TUKIO ZIMA VIDEO YA CHINIToa comment