Live: Simba 2-0 Biashara Utd, Ligi Kuu Bara, Uwanja Wa Mkapa

Timu ya Simba inaongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya  Biashara baada ya Clatous Chota Chama kufunga goli lake la pili kwenye mchezo huo.
Dakika ya 36 Bwalya anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 26 Chama Gooooal la pili kwa Simba

Dakika ya 20 Luis anapiga faulo inaokolewa na Mgore

Dakika ya 19 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 16, Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Fraga ambaye ameumia

 

Klabu ya soka ya Simba imeingia uwanjani kuvaana na Biashara UTD, katika mchezo wa ligi kuu unaochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar leo Septemba 20, 2020… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxToa comment