Live: Yanga 0-0 Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba

Yanga leo Julai 8, 2020 wanacheza dhidi ya Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara lakini baada ya mechi hiyo fasta tu watageuza kurudi Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa kupambana na Simba.Toa comment