Lulu Diva, Belle 9, Bonge la Nyau Wapata Ajali

Wasanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wamepata ajali ya gari alfajiri ya leo, Chalinze Pwani wakiwa safarini kuelekea Dar, Lulu amethibisha na kusema; “Nimeumia kichwani nimevimba ila Belle 9 kaumia zaidi amewaishwa hospitali. Bonge la Nyau ameumia kiasi.”

 

“Mwenyezi mungu ametunusuru kwenye Ajali mbaya ilotokea mida hii tukiwa njian maeneo ya ubena chalinze” amesema Bonge la Nyau.Toa comment