Magufuli akiwa Mbeya, asimama barabarani kuomba kura.(Picha + Video)

Magufuli akiwa Mbeya, asimama barabarani kuomba kura.

MGOMBEA wa Urais (CCM) Dkt John Magufuli, amewasili mkoani Mbeya leo Septemba 29, kwa ajili ya kuendelea na kampeni zake nchi nzima, akiomba kura kwa wananchi pamoja na kuwaombea kura wagombea wa chama chake wa ubunge na udiwani.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Toa comment