Magufuli Ampigia Laivu Injinia Mfugale, Afanya Maamuzi Magumu Buchosa – Video

RAIS MAGUFULI amempigia simu LIVE, Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick Aron Nipilima Mfugale na kumtaka kuanza kuijenga Barabara ya Sengerema – Nyehunge kwa kiwango cha lami kabla ya Desemba mwaka huu.Toa comment