Magufuli Apiga ‘Push-Ups’ Korogwe Tanga -( Picha +Video)

MGOMBEA  urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli,  baada ya kumaliza kampeni zake katika Viwanja vya TCC, Korogwe Tanga mapema leo Oktoba 20, 2020,  amepiga pushups za kutosha kuonyesha ukakamavu wake na utayari wa kuendelea kulitumikia taifa iwapo atapewa ridhaa tena Oktoba 28, 2020.
Toa comment