Magufuli: Uongozi sio Madgree, ni kipaji unachopewa na Mungu tu (+Video)

7 0

“Uongozi sio Madgree, ni kipaji unachopewa na Mungu, Mbunge wenu Lusinde ni Kijana mzuri anafanya kazi nzuri, ndio maana ni Mjumbe wa NEC,niliahidi Barabara ya lami KM 16 kutoka Mlowa hadi Mvumi, RC njoo nikuagize tumalizane hapahapa,zege halilali”

“Niliahidi Km. 16 za kutoka Mlowa mpaka Mvumi zitengenezwe kwa Lami, nataka nikuagize Mkuu wa Mkoa tumalizane hapa hapa, zege hailali, ndani ya miezi miwili mtangaze Tender kwa ajili ya kujengwa kwa kiwango cha Lami”

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *