Makada Wa Chadema Wakamatwa Kwa Kuchoma Moto Ofisi

Polisi Mkoa wa Arusha imewakamata watu watatu, wawili ni madereva na ofisa uhamasishaji, wote wa Chadema wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kuchoma moto Ofisi za Chadema Arusha 14 Agosti 2020.Toa comment