Man United, waanza kujadiliana – Gazeti la Dimba

26 0


KLABU ya Manchester United imefungua meza ya mazungumzo na
kiungo wake, Paul Pogba, ikipanga kumpa mkataba mpya.

Ifahamike kuwa Pogba mwenye umri wa miaka 26, amebakiza miaka
miwili katika mkataba wake wa sasa.


Source link

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *