Manara afunguka sakata la Meddie Kagere na kocha wake Sven – Simba siyo klabu ya kuchezewa

8 0

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amekanusha vikali taarifa zinazoenea kuwa mchezaji Meddie Kagere amegombana na Kocha wake Sven. Manara amekanusha taarifa hizo huku akiapa kuwa kamwe hatakubali kubebeshwa zigo la lawama kwa kuruhusu taarifa za uongo.

”Meddie Kagere na Kocha Sven Ludwig Vandenbroeck hawajawahi kugombana wala kushikana wala kutukanana. Ndani ya timu ya klabu ya Simba kuna amani ya kutosha inayoambatana na furaha.” – Haji Manara

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

Dudubaya Aitwa Tena Kuhojiwa BASATA

Posted by - April 13, 2020 0
Dudubaya Aitwa Tena Kuhojiwa BASATA April 13, 2020 by Global Publishers Baraza la sanaa Taifa (Basata) limemuandikia barua mwimbaji maarufu…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *