Maneno ya Petit Man kwa Country boy baada ya kuondoka kwake na kusainiwa na Harmonize Konde Gang (+Video)

5 0

Mdau wa muziki wa mfanyabishara Patit Man ametoa amoni yake kuhusu Rapper Country boy kusainiwa na lebo ya Konde Gang iliyopo chini ya Harmonize.

Patit amewajibu watu wanaodai kuwa Country boy ni msanii mkubwa na hakupaswa kusainiwa na Harmonize bora angeanzia lebo yake.

Patit pia ameongeza kuwa katika wasanii wote wa Bongo Fleva ambao amewahi kuwa nao karibu hakuna msanii wmenye nidhamu kama Country boy pamoja an Younglunya.

Posted from

Related Post

WACHEZAJI LIGI KUU WALIA NJAA

Posted by - April 22, 2020 0
NA WINFRIDA MTOI BAADHI ya wachezaji wa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara, wamelalamikia kupitia katika kipindi kigumu cha kiuchumi…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *