Marekani Yawataka Wananchi Wake Walioko TZ Warejee U.S

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19. 

 

Wote wanaotaka kuondoka wametakiwa kufanya hivyo mapema kwani hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege Ethiopia litakuwa shirika pekee lenye ndege za kutoka nje ya Tanzania.

 
Toa comment