Mbowe agusia wasanii wanavyotumika kwenye kampeni (Video)

4 0

CHADEMA wameendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi October ambapo Jumatato hii chama hicho kilikuwa mkoani Shinyanga ambapo viongozi mbalimbali walipata nafasi ya kunadi sera zao. Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa Chama hizo amezungumzia suala la wasanii kutumika kwenye mikutano ya vyama mbalimbali nchini.

Posted from

Related Post

MRITHI WA SENZO SIMBA HUYU HAPA

Posted by - September 6, 2020 0
NA ASHA KIGUNDULA BODI ya Wakurugenzi klabu ya Simba, imemtangaza Ofisa Mtendaji Mkuu mpya (CEO), Barbara Gonzalez, kuziba nafasi ya…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *