Mbunge wa Chemba Juma Nkamia apendekeza Samatta kujengewa Sanamu nje ya Uwanja wa taifa – Video

31 0

Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Chemba), Juma Nkamia amependekeza kujengwa kwa sanamu la Mbwana Samatta, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, iwe kumbukumbu ya mafanikio aliyoyapata kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kuchezea Ligi Kuu ya Uingereza.

Posted from

Related Post

Simba Yampa Tuzo Mbili Tonombe

Posted by - November 12, 2020 0
Simba Yampa Tuzo Mbili Tonombe November 12, 2020 by Global Publishers AKICHEZA Dar es Salaam dabi yake ya kwanza dhidi…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *