MC Luvanda: Jenga Mtandao wa Watu Sahihi – Video

 

Ungana na walimu wako Rodrick Nabe, katika Darasa la kujikwamua kimaisha, kila siku saa 10:00 hadi saa 11:00 na pia upate fursa za kujishindia zawadi mbalimbali.

 

Leo tunaye MC Luvanda, mhamasishaji maarufu nchini, msikilize madini yake hapa anasema; “Kama unataka kwenda haraka nenda mwenyewe, kama unataka kwenda mbali zaidi nenda na wenzako….. lazima tujifunze kuwa mahusiano shirikishi na watu wengine. Vijana wanakwenda kwa spidi lakini wazee wanaijua njia…..!

 Toa comment