Mchezaji aliyeifunga Yanga ‘Hat-trick’ jana aitwa kuungana na kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’

15 0

Hapo jana kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara kulikuwa na mchezo mkali na wa aina yake katika uwanja wa Uhuru, wakati Yanga SC ilipokuwa ikiwakabili timu ya Polisi Tanzania.

Kwenye mchezo huo ulishudiwa ukimalizika kwa sare ya mabao 3 – 3, huku mshambuliaji nyota wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi akifanikiwa kuondoka na mpira baada ya kufungua mabao matatu peke yake ‘Hat-trick’.

Kufuatia uwezo mkubwa aliyouonyesha Nchimbi kunako ligi kuu, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Ndairagije Ettiene ameamua kumuongeza nyota huyo katika kikosi chake na hivyo sasa kufikisha idadi ya wachezaji 29

 

 

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *