MERCY MASIKA – NIVUTE DRAW ME CLOSE *811*853# for skiza

2 38Song: NIVUTE
Artist: Mercy Masika
Audio: Still Alive productions
Video: Still Alive Productions
Year: 2020

MERCY MASIKA CONTACTS
Email – info@mercymasika.Africa
Facebook –
Twitter –
Instagram –
Website –

source

Related Post

There are 38 comments

 1. Avatar

  Aahh 😭😭😭 this song sums up the desire of my heart! To draw nearer and nearer to God. To know His Heart and love Him deeper than I do now. His will my will. His way my Way. ❤❤❤
  Thank you for allowing God to use you Mercy! Aah😭😭❤❤

  Reply
 2. Avatar

  Nimeishi kwa nyumba yako miaka mingi
  Lakini sasa nataka kwako kusongea zaidi
  Upendayo nami nipende
  Sauti nifahamu zaidi
  Nione Kama uonavyo wee wee..
  Nivutee eeh Baba karibu na wewe..
  Naulenga moyo wako Baba Kama Daudi…
  Njia zangu..Maisha yangu yalingane na neno lako..
  Njia zangu Maisha yangu yakupendeze ooh ooh..
  Nimeamua Maisha yangu kwa utukufu wako..
  Yesu ukiwa nami ooh wanibadilisha
  Kama samaki ahitaji maji ndivyo nakuhitaji ..
  Wewe ndiwe lengo langu weee eeh..
  Nivutee eeh..eeh.. Baba karibu na wewe..
  Naulenga moyo wako Baba Kama Daudi..
  Njia zangu Maisha yangu yalingane na neno lako…
  Njia zangu Maisha yangu yakupendeze…ooh ooh… ,*1000🔥🔥🔥💃💃💃

  Reply

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *