Meya wa Dar Alivyoshushiwa Maombi kwa Nabii Bendera – Video

ZIKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Baraza Kuu la Madiwani Dar es Salaam kufanya mkutano na kumvua nafasi yake, aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita kwa madai ya kutumia madaraka vibaya huku Mahakama ya Kisutu nayo ikitupilia mbali pingamizi lake, jana, Jumapili, Januari 12, 2020, Mwita alihudhuria ibada ya misa katika Kanisa la mchungaji Bendera lililoko Kimara Bonyokwa na kufanyiwa maombi mazito

TAZAMA TUKIO ZIMA LA MAOMBI
Toa comment