Mfahamu wakala wa wachezaji aliyewasaidia wengi kucheza nje ‘Angalau tuwe na wachezaji 20 nje’ – Video

5 0

Leo kulikuwa na tukio la Birthday dinner ya Wakala wa Wachezaji Tanzania anayefanya kazi chini ya kampuni ya @shadakasports ambayo mkurugenzi wake ni @shaffihdauda_


Ibrah Digala ni wakala wa Kitanzania aliyefanikiwa kuwasaidia wachezaji kadhaa kucheza nje ya nchi akiwemo @habibukyombo10 anayekipiga nchi Afrika kusini na wengine.

Digala ameeleza dhamira yake ya kuwa Wakala na malengo yalikuwa ndani ya miaka 5 Taifa Stars iwe na zaidi ya wachezaji 20 wanaocheza soka la kulipwa.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *