Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Afariki Tanzania

Wizara ya Afya maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wazee na watoto imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Corona nchini Tanzania kilichotokea alfajiri ya leo Machi 31, 2020 katika Kituo cha Matibabu cha Wagonjwa wa Corona kilichopo Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam.
Toa comment