Millen Magese afunguka kuhusu ujio wa Beauty Legacy ya Jack Mengi pamoja mtoto wake kumrudisha Tanzania (Video)

13 0

Miss Tanzania 2001, @ladivamillen amefungu mambo mbalimbali kuhusu ujio wa tukio la Beauty Legacy la @j_n_mengi pamoja na mambo mbalimbali kuhusu tasnia ya urembo nchini Tanzania. Katika hatua nyingine mrembo huyo amesema kwa sasa amemrudisha mtoto wake nchini Tanzania kutokana na sakata la ugonjwa wa corona nchini Marekani.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *