Mitumba Yapigwa Marufuku Kenya

Kenya yapiga marufuku uingizaji na uuzaji wa nguo za mitumba nchini humo katika harakati za kupambana na usambaaji wa virusi vya corona.

Serikali imebainisha kuwa hiyo ni njia mojawapo ya kulinda afya ya wananchi dhidi ya magonjwa na pia kusaidia viwanda vya nguo vya ndani kukua. Nchi hiyo imepiga marufuku hiyo wakati ambao nchi hiyo imeripoti visa 28 vya corona.
Toa comment