Mkinichagua mtatibiwa bure – Mgombea Urais NRA, Ndg Leopard Lucas Mahona

1 0

Mahona amesema hayo hii leo Septemba 3, 2020, Jijini Dar es Salaam, wakati akinadi sera zake katika Soko la Kariakoo, na kuongeza kuwa huduma bure za afya zitatolewa kwa watu wote bila kuzingatia umri, kama ambavyo hali ilivyo kwa sasa kwani wanaotibiwa bure ni wazee pekee.

“Nitahakikisha hakuna gharama yoyote mnayolipa, hata senti moja hamtatozwa, Watanzania mtapatiwa matibabu bure”, amesema Mgombea Urais NRA Mahona.

Aidha ameongeza kuwa atazalisha ajira zisizopungua Milioni 12 kwa kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake ili kuondoa adha ya ajira kwa vijana nchini.

Chanzo Eat Tv

Posted from

Related Post

Atletico: Arsenal wahuni sana jamani

Posted by - October 7, 2020 0
MADRID, Hispania DIEGO Simeone hajafurahishwa na Arsenal jinsi ilivyomnasa kiungo wa Atletico Madrid, Thomas Partey, ikiwa zimebaki dakika 32 kabla…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *