Mkubwa Fella afunguka jinsi anavyowahudumia Mwana FA na Sallam ambao wamepatwa na virusi vya Corona (Video)

23 0

Meneja wa Diamond @mkubwafellatmk amefunguka kuzungumzia afya ya Mwana FA pamoja na Sallam SK ambao wapo kwenye kambi ya matibabu ya ugonjwa wa Corona. Amesema kwa sasa wote wanaendelea vizuri na muda wowote afya zao zikapokaa vizuri wataruhusiwa.

The post Mkubwa Fella afunguka jinsi anavyowahudumia Mwana FA na Sallam ambao wamepatwa na virusi vya Corona (Video) appeared first on Bongo5.com.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *