Mkurugenzi Mtendaji Wa Bodi Ya Mikopo Akutana Na Watendaji Wa NHIF

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello (kulia) wakati walipofika kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi (Agosti 27, 2020).

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (katikati) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello wakati walipofika kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi (Agosti 27, 2020). Wa kwanza kulia ni Rais wa Shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO), Peter Niboye na Afisa Mikopo wa HESLB, Jonathan Nkwabi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru l leo Alhamisi, Agosti 27, 2020 amezungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello wakati walipofika kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.Toa comment