Mo Dewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi na mashabiki wa Yanga (+Video)

3 0

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya @simbasctanzania @moodewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi namashabiki wanaoonekana wa Yanga.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram MO DEWJI amepost ujumbe huu wenye video hiui:-

Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi, nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!

Posted from

Related Post

Hatima ya Ubunge wa Tundu Lissu

Posted by - February 24, 2020 0
Hatima ya Ubunge wa Tundu Lissu February 24, 2020 by Global Publishers MAHAKAMA Kuu kesho itaanza kusikiliza maombi ya aliyekuwa…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *