Mocco Genious: Wasiompenda Zuchu walifuta Cheche Youtube ila sio kwamba tuli-copy, wakatia anaandika nilikuwa namuona (+Video)

8 0

Mwandaaji wa muziki wa Bongo Fleva Mocco Genious amefunguka kuhusu wimbo wa Zuchu #CHECHE kufutwa YouTube baada ya taarifa kusikika kuwa nyimbo hiyo wame Copy.

Mocco amepata nafasi ya kuonge kwa sababu ndio Producer aliyotenegenza ngoma hiyo, Mocco ameeleza kwa undani huku wengine wakidai kuwa Producer ndio ilikuwa sabbau ya ngoma hiyo kufutw akwani ali sample beat.

Mbali na hilo Mocco amemtetea Zuchu kutokana na mistari aliyoimba kwenye ngoma hiyo kwa kudaiwa kuchukua mistari kwenye baadhi ya ngoma na kueleza kuwa Zuchu alikuwa anaenda Studio kurekodi na wimbo mzima umerekodiwa Studio kwahiyo alikuwa naona kabisa Zuchu anavyoandika wimbo mwanzo hadi mwisho.

 

 

 

Posted from

Related Post

Kahata: Lazima tuwafunge UD Songo

Posted by - August 23, 2019 0
Kahata: Lazima tuwafunge UD Songo August 23, 2019 by Global Publishers WAKATI kikosi cha Simba, keshokutwa Jumapili kikitarajiwa kushuka uwanjani…

Mwili wa Mugabe Wawasili Zimbabwe

Posted by - September 12, 2019 0
Mwili wa Mugabe Wawasili Zimbabwe September 12, 2019 by Global Publishers MWILI wa aliyekuwa kiongozi wa Zimbabwe, Robert Mugabe, umewasili…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *