Molinga wa Yanga amsifia Manara, Unajua sana kubrand wachezaji, natamani nifanye kazi na wewe

24 0

Ujumbe wa aliyewahi kuwa mchezaji wa yanga ambaye ni raia wa Congo na tayari ametemana na Yanga David Molinga Falcao kupitia ukurasa wake wa instagram.

“Siku zote nitakuwa na kumbuka tanzania asilimia kubwa sababu yako bro,uwezo ya brand team na wachezaji ndio kitu inanipa furaha sana natamani siku moja nifanye kazi na ww sabab unajua maana ya kuwa speakman ya team sio kwamba unaongea tu ila kila mara nilikuwa nakuangalia unaongea pointi tu i mean unajua mpira san bravo bro i proud of you popote nitakwepo nitakukumbuka daima @hajismanara

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *