Mr Blue afunguka kuhusu ajali aliyopata, Show yake ya Tanga (+Video) 

14 0

Kutokea mkoani Tanga mtangazaji wetu @kaimitehassani amepiga stori na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Henry Samir alimaarufu @mrbluebyser1988 baada ya kutua Tanga. Mr blue amepata nafasi ya kueleza mengi kuhusu show Yake ya leo katika ukumbi wa SABA 77 complex jijini Tanga ambayo imeandaliwa na kudhaminiwa na kampun ya KATEMI EMPIRE ilioko mkoani hapo.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *