Mr Blue athibitisha kupata mtoto wa tatu, karibu sana binti yangu Khairat kwenye familia

2 0

Ahsante mke wangu Mrs Blue Beauty Cosmetics kwa zawadi nyingine alhamdulillah, ahsante sana Mungu kwa kheri zako, karibu sana binti yangu Khairat kwenye familia alhamdulillah, Mungu ni mwema sana” ameandika Mr Blue

Huyo atakuwa mtoto wa tatu kwa msanii huyo na mkewe kwani hapo awali walikuwa na watoto wawili ambao mmoja wakiume mwingine ni mtoto wa kike.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *