Mrisho Gambo Amshinda Lema Ubunge Arusha Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amemtangaza Mrisho Gambo wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 82,480 akifuatiwa na Godbless Lema (CHADEMA) mwenye kura 46,489.

 
Toa comment