Msanii YJ aliyemng’ata meno Niva afunguka kisa na mkasa (Video)

5 0

Msanii wa muziki @yj_tz amefunguka kuzungumzia clips yake ya video iliyosambaa mitandaoni akigombana na msanii wa filamu Niva mpaka kufikia hatua ya kung’atana meno. Msanii huyo amedai siku ya tukio alitembelewa katika baa yake na msanii huyo kuanza kufanya fujo kitendo ambacho alidai alishindwa kukivumilia.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *