Mtu Mrefu Zaidi Bongo, Hatoshi Kitandani, Wananikimbia – Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na kijana, Julius Charles, ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na urefu wake uliopitiliza ambao umekuwa ukiwashangaza wengi.

Julius amesimulia historia ya maisha yake na changamoto anazokutana nazo kutokana na urefu wake.Toa comment