Mwanamke Anaeishi na Magonjwa Makubwa Matatu, Asimulia – Video

9 0

Mwanamke Anaeishi na Magonjwa Makubwa Matatu, Asimulia – Video

NI mwanamke jasiri, shupavu na shujaa anayepambana na maisha, anajishughulisha huku na kule kuhakikisha familia yake inaishi vizuri na jamii nzima inayomzunguka.

 

Anaitwa, Shahista Alidina almaarufu kwa jina la Shaykaa, mfanyabiashara maarufu nchini, anayeishi akiwa na maradhi makubwa matatu, Figo, Endometriosis pamoja na Anemia (Upungufu wa Damu).

 

Global TV imemtembelea Shaykaa nyumbani kwake na kuzungumza nae ambapo amesimulia historia yake kuanzia anazaliwa hadi kuolewa na kufanikiwa kupata watoto wawili.

 

Loading…

Toa comment

Posted from

Related Post

Tanzia: Jaji Bomani Afariki Dunia

Posted by - September 11, 2020 0
Tanzia: Jaji Bomani Afariki Dunia September 11, 2020 by Global Publishers Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *