Mwijaku “Nilisema Diamond hawezi kumuoa Tanasha hata iweje, Anaweweseka sana kwa Hamissa na nimeombwa kupima DNA” – Video

19 0

Msanii wa Bongo movie na mtangazaji wa Classic Fm @mwijaku amefunguka na kusema kuwa nilichokisema kimetokea kuwa @diamondplatnumz hawezi kamwe kumuoa @tanashadonna kwa sababu ya mambo yafuatayo.

Mwijaku pia ameongeza kuwa @diamondplatnumz anaweweseka sana kwa @hamisamobetto na ndio mwanamke ambaye hatamsahau kamwe “KUNA RAFIKI YANGU ALINAMBIA ANATAKA AKAMUONE HAMISSA BAADA YA KUKUTANA NAYE ALITETEMEKA SANA”

By Ally Juma.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *