Mzozo waibuka kikao cha Madiwani kisa saini (+Video)

26 0

Mzozo wazuka katika kikao maalum cha Baraza la Madiwani jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao maalum cha kujadili na kuamua hatma ya Meya wa jiji la DSM Isaya Mwita.

Image

Chanzo cha mzozo huo kimetajwa kuwa ni baada ya wajumbe wa upinzani kudai CCM wamegushi saini ya mjumbe hayupo ndani ya chumba mkutano, ambapo mtu huyo ni moja  ya wajumbe wa mkutano huo.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *