Nadia Mukami – Lola (Official Video) Ft. Masauti (Dial *811*176# To set Skiza Tune)

7 26#Nadia #Lola #Ngomma
Nadia Mukami, a Kenyan vocalist, singer, songwriter and performer, presents her 6th studio single & video titled Lola. She has featured Masauti who is also known for his melodious flow and a wide vocal range, to create this masterpiece, ‘LOLA’.

‘LOLA’ is about a love triangle between two lovers who hustled together and acquired some wealth but the boyfriend, betrayed their love, by getting involved with another woman.
Enjoy! Like! Share! Comment!

Download the audio on Boomplay here:

Get In touch with Nadia Mukami on social media;

Facebook
Twitter
Instagram
Subscribe

For more Info Bookings
Phone: +2547 10 020 395
Email: nadiamukamibookings@gmail.com

Audio Produced By: Motif di Don
Video Directed By: Deska Torres of Platinumz Pictures
Written and performed by: Nadia Mukami & Masauti

LOLA LYRICS:
aaah aah aah aha aha
Baby
Lola…
aaah aah

VERSE 1:
Nashangaa na hizi pesa, nilijikuta tu kivyangu
Eti mwanzoni ulinipenda,akabisha shetani huku kwetu
Lakini mbona hukuniambia, ya siri nijulie mitandaoni
Ukweli ukaukimbia, eti mhusika ndo shetani
Ama ni kiki unatafutia, ndo maombi yangu moyoni
Au ni showbiz na hujaniambia, nisijitese akilini

Ona tulianza bila mapeni, na leo tuna magari
Nimekosa nini jameni,si ulitaka aliye maarufu
Uwape story magazeti,matusi pande mbili
Kipenzi cha watu jameni, walitupenda sote wawili ila….

CHORUS:
Lolaaa….yamemwagika hayazoleki…
Loolaaa
Looola
Lolaaaa….Yamemwagika hayazoleeki
Yamemwagika baabaaa

MASAUTI
Lolaaa…..sasa umeniacha na nanii
Lolaa…..rudi kwangu mimiii
Lola…..sasa umeniacha na nani mama yoooh….Loola rudi kwangu Mimi…..

VERSE 2:
Kweli nimeumbukaaa…, sina hata hadhi yakukutazama kwenye sura,
Nilioyafichaa…,mwangu moyoni yote umeyajuwa, naona aibu mpaka kwa marafiki zangu,
Imekuwa chungu, kwa tamaa Zangu,
Nadia ulinipendagaa,
na mapenzi yalinoga,
mi ndo nilikumwaga, nakuomba msamaha wangu mama,
Basi usiniadhibu, kwa kosa tayari nimekubali,
Acha kunihusudu..,kila mahali ni mimi mitandaoni,
Kugombana sio suluhuhisho mama aaah ahaa,
tusizidi kuuvunja mwiko mama wa mapenzi yetu mi na weeeee

CHORUS

source

Related Post

There are 26 comments

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *