Nafasi ya kazi Halmashauri ya wilaya ya Manyoni, Agruculture officer

POST AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS II) – 1 POST
POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni
APPLICATION TIMELINE: 2020-08-27 2020-09-10
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio; ii. Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio; iii. Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora; iv. Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti; v. Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo; vi. Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi, robo na mwaka ngazi ya Halmashauri; vii. Kukusanya takwimu za mvua; viii. Kushiriki katika savei za kilimo; ix. Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia sahihi za kutumia; x. Kupanga mipango ya uzalishaji; xi. Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi; xii. Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo; xiii. Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima; xiv. Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu; xv. Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea; xvi. Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya kilimo; xvii. Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji; xviii. Kutoa ushauri wa kilimo mseto; xix. Kuandaa sheria ndogo za hifadhi ya mazingira; na xx. Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita (VI) wenye stashahada ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS BToa comment