“Nataka kufanya colabo na Alikiba Diamond na Rayvanny, Samatta alinialika Genk nikatangaze utalii lugha ilikuwa tatizo” – Moran (+ Video

21 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayefanyia kazi zake nchini Marekani @morani_tz amefunguka mengi sana kuhusu mwenendo wa muziki wake na dhumuni la kuamua kujiingiza kwenye tasnia ya Bongo Fleva.

Akiongea na waandishi wa habari @morani_Tz ameeleza kuwa lengo lake ni kufanya muziki wa Intenational na ndio mana yuko kwenye mazungumzo na AKON ili watoe ngoma. @morani_tz pia amewashauri wasanii wenzake kuacha kuiga sana muziki wa Nigeria na kama watashindwa sana basi waige hata muziki wa Marekani. Mbali na hilo @morani_Tz ameamua kuachia video ya ngoma yake mpya NAKUULIZA aliyoifanyia MJ Record kwa @marcochali

By Ally Juma.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *