Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa [ft. Nandy] (Official Lyrics Video)

3 0Navy Kenzo presents the official lyric video to Bampa 2 Bampa, featuring Nandy.
This track comes off their highly anticipated album: Story Of The African Mob.

Available to download/stream via:

© 2020 The Industry Studios Co. Ltd

Subscribe here: –
Digital distribution:

LYRICS:
Nahreel:
Upendo usitie vigingi, kitandani mwendo wa bakora,
kichwa nipakie vumbi, mwendo kusaga mkongora,
Navyoliseti hilo keti, natuma sumu ka dondora
Maji kulowesha nyeti, kifo cha mende Kuchochora
Marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa sio supu ya kongoro
Au kisa ukungwi maujuzi ndio unifanyie vibaya nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya

Chorus
Mi ah Bampa 2 Bampa
Mi and you we are Bampa 2 Bampa
Penzi lako Bampa 2 Bampa
Linanoga Bampa 2 Bampa
No doubt mi ah Bampa 2 Bampa x2

Nandy:
Ehhh nimekuwa chizi, majununi kilaza na sijiwezi
Majuto ni mjukuu naridhika na wewe tuu
Kukuwacha sithubutu
Usiniache weee, tujunafasi kibambata
Uwi uwi. Nitakuja kujuta kimekataa
tujunafasi kibambata
Uwi uwi. Nitakuja kujuta kimekataa

Chorus
Mi ah Bampa 2 Bampa
Mi and you we are Bampa 2 Bampa
Penzi lako Bampa 2 Bampa
Linanoga Bampa 2 Bampa
No doubt mi ah Bampa 2 Bampa x2

Aika:
Bampa bampa, the men is hunter
Nampa nampa, chochote anataka
Nipe Tetepe tepe, mi nilowe
Kisu chako nikinowe

Umenishika kwenye roho we ehh

Marafiki wa shuka, ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa, sio supu ya kongoro
Au kisa ufundi maujuzi ndio unifanyie vibaya, nivike sura ya mbuzi,
Nikufichie mabaya

Chorus
Mi ah Bampa 2 Bampa
Mi and you we are Bampa 2 Bampa
Penzi lako Bampa 2 Bampa
Linanoga Bampa 2 Bampa
No doubt mi ah Bampa 2 Bampa x2

Ehhhhh Tujunafasi kibambata, Nitakuja kujuta kimekataa
Tujunafasi kibambata

Written by @mavougykenzo @nahreel & @the_great_eddy @aikanavykenzo

Produced by @nahreel & @pablolannoche
Follow Instagram: @navykenzoofficial

Video Created by: @junior_designs94

#NavyKenzo #Nandy #Bampa2Bampa
Music in this video
Learn more
Song
Bampa 2 Bampa
Artist
Navy Kenzo
Album
Story Of The African Mob
Licensed to YouTube by
WMG, [Merlin] Africori (on behalf of The Industry Studios Co. Ltd)

source

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *