NEC: Lissu Arejesha Fomu za Kumgombea Urais

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu ameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho na mgombea mwenza wake Salum Mwalimu.Toa comment