NEC: Majina ya Wagombea Waliorejeshwa, Waliokatwa!

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika  Oktoba  28, 2020.

 

Kati ya rufaa hizo, 15 wamerejeshwa kugombea ubunge, na  imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa na imekataa rufaa 25 za kupinga kuteuliwa.

 

Jana Jumanne, tarehe 8 Septemba 2020, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera,  aliweka wazi rufaa hizo na kusema, zingine zitaendelea kutolewa kadri watakavyokuwa wanamaliza kuzichambua.Toa comment